Naomba Kujiunga na Kwaya Yoyote Yenye Nyimbo za Kugusa Mioyo ya watu

Naomba Kujiunga na Kwaya Yoyote Yenye Nyimbo za Kugusa Mioyo ya watu

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu..

Navuviwa na Karama kuponya mioyo iliyopondeka kwa adha mbali mbali kupitia huduma ya uimbaji? Naomba kama kweli kuna Kundi ambalo linaimba kwa haki na Kweli na Nyimbo zao zina Gusa shida za watu na kupitia nyimbohizo Ushuhuda na Uponyaji hutokea naomba connections? Mimi ni mtunzimzuri sana lakini huduma yangu nataka nifanye impartation kubwa sana na iwe ya uponyaji zaidi kuliko ya kuingiza kipato na kutoa albam ambazo hazina impact kwenye shida za wapendwa wetu.
Awali ya Yoyote Mwaka 2020 ni Mwaka wa ukombozi hivyo nahitaji kupitia nyimbo za niweze kuwa sehemu ya huo ukombozi..

Mungu Anawapenda.!! kuna uvuviwo nashindwa kuuzuziwa
 
Napenda sana kuimba buuut whenever i hear myself nikiimba....deep down kuna sauti inaniambiaa joanah please stop!!!this is not it!

Kila la heri Akili Unazo!
 
Hapana usi
Napenda sana kuimba buuut whenever i hear myself nikiimba....deep down kuna sauti inaniambiaa joanah please stop!!!this is not it!

Kila la heri Akili Unazo!
Hapana usirudie kujichukia jione unaweza hata mimi najisikia kuna kitu kinanisukuma kutimza azima yangu
 
Hapana usi

Hapana usirudie kujichukia jione unaweza hata mimi najisikia kuna kitu kinanisukuma kutimza azima yangu

Sijichukii

Ni vile deep down najua sijui kuimba...nafikiri ni sababu sina pumzi na sina utaratibu wa kuongea kwa sauti kuuuuubwa nikasikika kama nikiimba
 
Sijichukii

Ni vile deep down najua sijui kuimba...nafikiri ni sababu sina pumzi na sina utaratibu wa kuongea kwa sauti kuuuuubwa nikasikika kama nikiimba
Please
 
Back
Top Bottom