Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

Asante mkuu kwa kushare...una madini katika nyanja hii naona...
Je ukiuza bei ya kawaida kwa jumla hapa bongo tani moja profit margin ni ngapi? Ukitoa garama zote za mzigo na usafiri

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza tani 1 unapata vyombo tofauti kati ya 1600 mpaka 2100 inategemea na size zake, yaani uzito wa kikombe hauwezi kuwa sawa na bakuli
Sasa vyombo unaweza kuuza kwa kutengeneza package yako unaipa bei mwenyewe. Au uuze kimoja kimoja
Kwa faida mpaka vyote kuisha inafika 2mil maana nauzia watu wanaokwenda kuuZa pia
 
Tani 1 ni 1.3 Mil Tsh
Nusu Tani laki 7
Ila bi bei bila usafiri wa kutoka China kwenda Tz
Hapo ni mpaka kampuni ya usafiri ipime mzigo ila kwa mara ya mwisho kutuma Tani 1 ilikuwa USD 550
kama hizi info unazozisema hapa ni za kweli, basi wewe una moyo wa kipekee,
sijawahi ona mfanyabiashara atoe taarifa muhimu kama hizo tena public
 
Ah mimi nafanya Agiza China ndio biashara yangu, siwezi bania information maana ni part yangu ya biashara na hivyo ndio napata wateja. Ila wateja wangu sasa wanaoenda kuuza tena kwa mtumiaji wa mwisho ndio watanilalamikia natoa taarifa muhimu
 
Toa tu taarifa huo ndo ukweli hao wanaokulalamikia hawako fair kabisa loh
 
Ah mimi nafanya Agiza China ndio biashara yangu, siwezi bania information maana ni part yangu ya biashara na hivyo ndio napata wateja. Ila wateja wangu sasa wanaoenda kuuza tena kwa mtumiaji wa mwisho ndio watanilalamikia natoa taarifa muhimu
Ubarikiwe Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah mimi nafanya Agiza China ndio biashara yangu, siwezi bania information maana ni part yangu ya biashara na hivyo ndio napata wateja. Ila wateja wangu sasa wanaoenda kuuza tena kwa mtumiaji wa mwisho ndio watanilalamikia natoa taarifa muhimu
Nitakutafuta mkuu
 
Anachosema Trendz ni kweli kabisa, mimi pia nafnaya hii biashara ya kuwaagizia watu vyombo kutoka China, tani 1 ina vyombo 2000 mchanganyiko au pungufu ya 2000.
 
Kwa sasa siwezi kukupa robo tani kwa vinavyofika mwezi wa 8. Ila naweza kukupa kama box 2 mixed types kwa 130000, ili uvione kwanza na ujue wapi napatikana ukipenda sasa tunaweza changa tukanunua pamoja [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Mkuu nakupata wap,nataka kuanza hii biashara,box 2 zinakuwa na pcs ngap kwa ujumla
 
Box 2 unaweza pata vyombo 80-100
Nina store mikocheni yaani ukiwa makumbusho unaweza kwenda kwa miguu tu.
Vyombo vikifika nitawaambia hapa kwa anayetaka atakuja either kununua au kuona
Ni mwezi wa 8 ndio vinafika
 
Hii biashara naiona kwa mtu mwenye 5M to 10M anaifanya vizuri tu.
Ngoja kwanza

Ni nzuri sana, kwa mimi naagizisha na mi naweka humo kirobo tani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtaji ukikuwa nitafanya zaidi
 
Box 2 unaweza pata vyombo 80-100
Nina store mikocheni yaani ukiwa makumbusho unaweza kwenda kwa miguu tu.
Vyombo vikifika nitawaambia hapa kwa anayetaka atakuja either kununua au kuona
Ni mwezi wa 8 ndio vinafika
Usiache kunijulisha pls,huo mwezi nitakuwa niko dar
 
Ni nzuri sana, kwa mimi naagizisha na mi naweka humo kirobo tani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtaji ukikuwa nitafanya zaidi
Mkuu samahani,we ndio mwenye the_trendz ya kigam boni au ni majina tu
 
Unaweza angalia instagram OMMIE TRENDZ zipo accounts 2, ila sipost sana siko active ila utaona details, links za groups na contacts
 
Back
Top Bottom