onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Kama nikitaka robo tani utauza kwa bei ganiTani 1 ni 1.3 Mil Tsh
Nusu Tani laki 7
Ila bi bei bila usafiri wa kutoka China kwenda Tz
Hapo ni mpaka kampuni ya usafiri ipime mzigo ila kwa mara ya mwisho kutuma Tani 1 ilikuwa USD 550
Asante mkuu kwa kushare...una madini katika nyanja hii naona...
Je ukiuza bei ya kawaida kwa jumla hapa bongo tani moja profit margin ni ngapi? Ukitoa garama zote za mzigo na usafiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nikitaka robo tani utauza kwa bei gani
kama hizi info unazozisema hapa ni za kweli, basi wewe una moyo wa kipekee,Tani 1 ni 1.3 Mil Tsh
Nusu Tani laki 7
Ila bi bei bila usafiri wa kutoka China kwenda Tz
Hapo ni mpaka kampuni ya usafiri ipime mzigo ila kwa mara ya mwisho kutuma Tani 1 ilikuwa USD 550
kama hizi info unazozisema hapa ni za kweli, basi wewe una moyo wa kipekee,
sijawahi ona mfanyabiashara atoe taarifa muhimu kama hizo tena public
Toa tu taarifa huo ndo ukweli hao wanaokulalamikia hawako fair kabisa lohAh mimi nafanya Agiza China ndio biashara yangu, siwezi bania information maana ni part yangu ya biashara na hivyo ndio napata wateja. Ila wateja wangu sasa wanaoenda kuuza tena kwa mtumiaji wa mwisho ndio watanilalamikia natoa taarifa muhimu
Ubarikiwe MkuuAh mimi nafanya Agiza China ndio biashara yangu, siwezi bania information maana ni part yangu ya biashara na hivyo ndio napata wateja. Ila wateja wangu sasa wanaoenda kuuza tena kwa mtumiaji wa mwisho ndio watanilalamikia natoa taarifa muhimu
Nitakutafuta mkuuAh mimi nafanya Agiza China ndio biashara yangu, siwezi bania information maana ni part yangu ya biashara na hivyo ndio napata wateja. Ila wateja wangu sasa wanaoenda kuuza tena kwa mtumiaji wa mwisho ndio watanilalamikia natoa taarifa muhimu
Nitakutafuta mkuu
Ni mimi nitakutafuta mkuuSawa, usijari
Kaka ubarikiwe ,nakuombea ushike mabilioni na sio mamilioni Tena jamaniView attachment 1847897
View attachment 1847898
View attachment 1847899
View attachment 1847900
View attachment 1847902
View attachment 1847904
View attachment 1847905
Vikifika nitakuuzia vichache, baada ya hapo ukipenda nitakuagizishia
Huo ni mfano wa vyombo nilivyochukua ni mchanganyiko wanapima kwa uzito wa Tani
Hii biashara naiona kwa mtu mwenye 5M to 10M anaifanya vizuri tu.Anachosema Trendz ni kweli kabisa, mimi pia nafnaya hii biashara ya kuwaagizia watu vyombo kutoka China, tani 1 ina vyombo 2000 mchanganyiko au pungufu ya 2000.
Mkuu nakupata wap,nataka kuanza hii biashara,box 2 zinakuwa na pcs ngap kwa ujumlaKwa sasa siwezi kukupa robo tani kwa vinavyofika mwezi wa 8. Ila naweza kukupa kama box 2 mixed types kwa 130000, ili uvione kwanza na ujue wapi napatikana ukipenda sasa tunaweza changa tukanunua pamoja [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Mkuu nakupata wap,nataka kuanza hii biashara,box 2 zinakuwa na pcs ngap kwa ujumla
Hii biashara naiona kwa mtu mwenye 5M to 10M anaifanya vizuri tu.
Ngoja kwanza
Usiache kunijulisha pls,huo mwezi nitakuwa niko darBox 2 unaweza pata vyombo 80-100
Nina store mikocheni yaani ukiwa makumbusho unaweza kwenda kwa miguu tu.
Vyombo vikifika nitawaambia hapa kwa anayetaka atakuja either kununua au kuona
Ni mwezi wa 8 ndio vinafika
Mkuu samahani,we ndio mwenye the_trendz ya kigam boni au ni majina tuNi nzuri sana, kwa mimi naagizisha na mi naweka humo kirobo tani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtaji ukikuwa nitafanya zaidi
Mkuu samahani,we ndio mwenye the_trendz ya kigam boni au ni majina tu
Mkuu samahani,we ndio mwenye the_trendz ya kigam boni au ni majina tu