Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

Juml Jumla Bei gan na kuanzia vingap,,au Kama una page ya biashara tupatie tuifollow mkuu
 
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.



Huyo ni moja kati ya wateja wangu walioagiza Tani 1 peke yao na hapo ndio anafungua mzigo.



 
Box 2 unaweza pata vyombo 80-100
Nina store mikocheni yaani ukiwa makumbusho unaweza kwenda kwa miguu tu.
Vyombo vikifika nitawaambia hapa kwa anayetaka atakuja either kununua au kuona
Ni mwezi wa 8 ndio vinafik

Mimi nafanya naagizisha direct China vya kupima kwa Tani ni mchanganyiko, niko navyo vipo njiani vinafika mwezi wa 8 naweza kukuuzia robo tani ukihitaji
Mkuu Ninaomba unitumie namba yako ya simu, ili tufanye biashara
 
Habari Wana JF naombeni mnisaide kunipa mchanganuo wa biashara ya kuuza vyombo vya majumbani mtaji wake sehem vinavopqyikana kwa jumla na Bei zake [emoji120]
 
Nimewaita Ngoja Waje, Japo Kariakoo Ndiyo Sehemu Sahihi
 
Hii biashara haitakiwi uwe una njaa sana; nunua mzigo na utawanye kwenye makazi ya watu, au kwenye taasisi mbalimbali, mfano waalimu,manesi n.k baada ya wiki,mwezi pitia makusanyo.
 
Kwa ufaham wangu mdogo, kama unamtaji wa 2.5M , tofauti na kodi ya pango , hapo utapata bidhaa zote za muhimu na duka litajaa vizuri tu ,
Vinapopatikana kwa jumla ,nenda kariakoo mtaa wa agrey na sikuu na agrey na living stone yapo maduka kibao wanauza vyombo jumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…