Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

Na hiyo ndio hulka ya mtanzania mwenye mawazo finyu bila upembuzi.
Naomba uniambie nimekutapeli nini au nimemtapeli nani ?
Watu hadi sasa wanalalamika mizigo yao ya tangu July hakuna, hujibu malalamiko yao kwenye group, wala pesa hurudishi. Na simu hupokei. Au niweke screenshots?
 
Ndio nasema unaongelea kitu kwa madhania, issue ni kuwa nipo busy na professional job kwa sasa sitangazi biashara kuhusu mizigo ya watu walioagiza imefika muda tu na muhusika wa Tanzania alifanyiwa operation
Mtu kama wewe ndio mnarudisha maendeleo nyuma na mkizeeka mnakuwa wachawi
 
Kama mizigo ya watu imefika kwanini miezi yote hiyo wanalalamika? Kwanini hufafanui kwenye group badala yake uko kimya na simu hupokei. Mtu hajui kama mzigo umenunuliwa na uko wapi. Hela umepiga kimya.

Mwanzo ulikuwa unawajibu watu kwa dharau, sasa umekaa kimya kabisa. Huu ni utapeli
 
Kuna shida sehemu hasa kwa muagizaji ndugu Trendz ukubali. Ikiwa ni kweli malalamiko ya wateja hayatatuliwi na wamelipia mzigo kwa kipindi cha miezi sita iliyopita, unawajibika kutolea ufafanuzi mahali sahihi unapowasiliana nao.

Pia kusema mhusika alipata upasuaji sidhani ikiwa ni jibu sahihi ungeangalia namna ya kufanya kufikisha mzigo kwa wahusika kuliko kuendelea kushikilia mitaji ya watu mpaka mgpnjwa wako apone.

Ni ushauri tu, japo sikuombwa kuutoa. Samahani kwa kuingilia ikiwa mmoja wenu atakwazika
 
Kama ni miezi6 hao wamepigwa
mimi nimeagiza mizigo ikichelewa sana ni miezi miwili kutokana na korona inachelewa lakini sio miezi 6

mimi niliacha kuwatumia hawa wabongo kuagiza mizigo nje waongo waongo sana na nimetapeliwa mara mbili
 
Uko sahihi mkuu. Sasa jamaa mwanzo alikusanya pesa akawaletea mzigo, watu walivyoamini wakawa mengi kakusanya tena then kasepa.

Mwanzo alikuwa anawajibu hovyo kwa dharau. Ilipofika Oktoba watu wakaona muda umeenda sana wakazidi kuhoji, akawajibu hiyo Oktoba mtu wake anayepokea mizigo Dar kaugua ghafla kakimbizwa theatre so mizigo itatoka akipona na mgonjwa hawezi ongea na simu so wasimpigie.

Nov watu wakaomba awaelekeze mgonjwa alipo wakampe pole, akasema wasiende mgonjwa anapelekwa kufanyiwa operation nyingine wasubiri apone na asipigiwe simu.

Watu wakaomba basi atafute kijana mwingine akafatilie mzigo awape, akawa mkali.

Jamaa hapokei simu, sms hajibu n.k na akijibu anajibu kwa dharau. Hapa juzi kasema hana hela ya kutuma mizigo, wateja walipie then watamdai.

Tangu July watu wamepigwa doro.
 
unaagizaje ? Unapata wapi supplier?
 
dah Nilikuwa nataka niagize nikawa nahofia maana % kubwa wa wabongo wanaoagizishia watu bidhaa kutoka chini ni mtihani aisee
 
Kama ni miezi6 hao wamepigwa
mimi nimeagiza mizigo ikichelewa sana ni miezi miwili kutokana na korona inachelewa lakini sio miezi 6

mimi niliacha kuwatumia hawa wabongo kuagiza mizigo nje waongo waongo sana na nimetapeliwa mara mbili
Kakudo nakukubali Sana harakati zako tupeane maujanja yakuagiza nje
 
Uko sahihi mkuu. Sasa jamaa mwanzo alikusanya pesa akawaletea mzigo, watu walivyoamini wakawa mengi kakusanya tena then kasepa.

Mwanzo alikuwa anawajibu hovyo kwa dharau. Ilipofika Oktoba watu wakaona muda umeenda sana wakazidi kuhoji, akawajibu hiyo Oktoba mtu wake anayepokea mizigo Dar kaugua ghafla kakimbizwa theatre so mizigo itatoka akipona na mgonjwa hawezi ongea na simu so wasimpigie.

Nov watu wakaomba awaelekeze mgonjwa alipo wakampe pole, akasema wasiende mgonjwa anapelekwa kufanyiwa operation nyingine wasubiri apone na asipigiwe simu.

Watu wakaomba basi atafute kijana mwingine akafatilie mzigo awape, akawa mkali.

Jamaa hapokei simu, sms hajibu n.k na akijibu anajibu kwa dharau. Hapa juzi kasema hana hela ya kutuma mizigo, wateja walipie then watamdai.

Tangu July watu wamepigwa doro.
Minimizing! Yapo magroups 2
Group 2
Group 3

Yote yapo active hakuna lililojaa

Group namba 2 kimyaa simsikii mtu hata mmoja! Lakini group lipo active halijajaa ni MUONGO!

Group namba 3 watu wanauliza lakini hakuna majibu!

Namba za simu za groups admins:

+255 689 337 097 Group Admin
+86 152 1408 9927 Group Admin

Group Name: Agiza kutoka china 2
Group Name: Acids Ultima China 3

Group 2

"UKILIPIA MZIGO HELA HAIRUDI Utabadili bidhaa TU"

Created by +86 152 1408 9927
Date: 10.10.2018

Instagram:
ommie_trendz_CHINA_TZ
ommie_trendz_china
 
Mkuu unasema group number 2 liko kimya. Kwamba hakuna anayeulizia mzigo wake? Kwamba namsingizia?

Niweke screenshots hapa?
 
Kama ni miezi6 hao wamepigwa
mimi nimeagiza mizigo ikichelewa sana ni miezi miwili kutokana na korona inachelewa lakini sio miezi 6

mimi niliacha kuwatumia hawa wabongo kuagiza mizigo nje waongo waongo sana na nimetapeliwa mara mbili
Unaagiza wapi au kwa njia gani maana dah wabongo wanatunyoosha
 
Mkuu unasema group number 2 liko kimya. Kwamba hakuna anayeulizia mzigo wake? Kwamba namsingizia?

Niweke screenshots hapa?
Weka ndugu
Wabongo tunaharibiana biashara mnooo
Sasa anashindwa kujali biashara ya watu sijui ana maana gani mazee
 
Mimi nafanya naagizisha direct China vya kupima kwa Tani ni mchanganyiko, niko navyo vipo njiani vinafika mwezi wa 8 naweza kukuuzia robo tani ukihitaji
Mrejesho kutoka China TAFADHALI.....
 
Back
Top Bottom