Trendz
Senior Member
- Jun 27, 2021
- 125
- 183
Jamaa kumbe tapeli. Watu wameshalizwa huko kwenye group. Umekusanya pesa za watu na kusepa
Na hiyo ndio hulka ya mtanzania mwenye mawazo finyu bila upembuzi.
Naomba uniambie nimekutapeli nini au nimemtapeli nani ?