Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

Hayo yote inapaswa uwe unatoka taarifa mapema.
 
Mkuu unasema group number 2 liko kimya. Kwamba hakuna anayeulizia mzigo wake? Kwamba namsingizia?

Niweke screenshots hapa?
Hujasoma vizuri
Groups zipo mbili Group 2 na Group 3 na yote yapo active sivyo kama alivyosema mwenyewe kwamba group la 2 limejaa ni muongo huyo TRENDZ.

Group 2 Lipo active lakini lipo kimyaa

Group 3 Watu wanauliza lakini hakuna majibu.

Kwa hivyo magroup yote mawili yapo na hakuna lililojaa kama alivyosema mwenyewe.

Ukisima vizuri nilivyoandika utanielewa, sijakwambia wewe muongo ni huyo TRENDZ ndio MUONGO.
 
Mkuu unasema group number 2 liko kimya. Kwamba hakuna anayeulizia mzigo wake? Kwamba namsingizia?

Niweke screenshots hapa?
Bora ukiweka screenshots ili watu waone wamtambue huyu mtu. Mimi nilishajipanga nimtafute hatari....
 
Hi,Naomba ambaye amefanikiwa kuanzisha au kumiliki biashara ya vyombo vya majumbanii kama vilee mabakuli,sahani ,vikombe..nk naomba kuelewa amekumbana na changamoto zipi na vipi imemlipa kiasi thanks please naombenii nina mpango wa kuanza hii biashara
 
Nakazia
 
naomba kuelewa amekumbana na changamoto zipi na vipi imemlipa kiasi thanks please naombenii nina mpango wa kuanza hii biashara
Mosi
Changamoto kamwe hazifanani
Kama umejipanga kuanza Anza mara moja
Swala la kulipa hii inategemea wewe utapata wapi mzigo wako na utauuzaje

Muhimu
Anza na kidogo yaani kama una laki 5 anza na laki3 then ile mbili utakua kila ukipokea maoni ya wateja wako faster unaongezea mzigo.

Ila anza mara moja usisubiri
 
Ilaa kweli nashukuru kwa kimawazo yako mazurii
 
General Topics Post (Japan) kupitia kwenye hii plaform utapa vyombo vy amtumba kutoka Japan bei zao zakawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…