Naomba kujua ada ya bachelor in education kwa form four leavers kwa ST. Joseph?

Naomba kujua ada ya bachelor in education kwa form four leavers kwa ST. Joseph?

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
795
Reaction score
155
JAMAN KUNA RAFIK ANGU KAMALIZA MWAKA JANA FORM 4. SASA ANAHITAJ KUJUA ADA YA PALE NI KIASI GAN MANA KAPATA 3 YA POIN 31 AF HAJACHAGULIWA, YAN ,ENGL B+
KISW B
HIST D
BIOS D
GEO D
CIV D
MATH E, anataka akasome bsc.ed in biology,
 
Du Wapendwa Mpen Msaada Kama Mnajua.
Na Sio Kumkomoa,
Leo Kwako Kesho Kwake,
Msiwe Hivyo
 
Yaani ana three ya 31 ya form four anataka akasome degree??? au mimi sijaelewa???
 
Yani form four akasome nin, bachelor!!??
Huu utani sasa
 
course duration ni miaka 5 na siyo mitatu

hatakama ujue watu wamepata dv4 a-level(wasiporisit) wanadaiwa miaka mitatu ya diploma in edctn ndo wajiunge vyuo vikuu.,sasa huyu dogo form4 failure then anatafutiwa shortcut afike huku juu tena aki graduate akafundishe biology a-level?????
 
Mmmh...! kuna mda ka una stress ukiingia Jf unaweza ata ukafa kwa vitu ambavyo watu wana post...!!!!
Hakika degree imekua kichwa cha mwendawazimu ata dvs 4 failure anataka kusoma
 
uyooo akachukue form aanze certificate then diploma then ndiooo iooo bachelor
 
ni miaka mi 5. af hana 4 uyo. ana 3

nni kweli st joseph wametoa iyo ofa sometymz msiwe mnabisha kila kitu hata mm nimeona foarm four anaweza kusoma degree lkn ni kwa miaka 5 ana kua tofaut na yule aliefaulu vzr ambae anasoma miaka 3lkm mpk achaguliwe na tcu...ila huyu form four anaenda kuomba mwenyewe ili mradi awe na vigezo ok...ila ada cijajua kiukweli ila kwa msaada piga no 0713-757010 st joseph arusha
 
ni miaka mi 5. af hana 4 uyo. ana 3

nni kweli st joseph wametoa iyo ofa sometymz msiwe mnabisha kila kitu hata mm nimeona foarm four anaweza kusoma degree lkn ni kwa miaka 5 ana kua tofaut na yule aliefaulu vzr ambae anasoma miaka 3lkm mpk achaguliwe na tcu...ila huyu form four a mwenyewe ili mradi awe na vigezo ok...
 
nni kweli st joseph wametoa iyo ofa sometymz msiwe mnabisha kila kitu hata mm nimeona foarm four anaweza kusoma degree lkn ni kwa miaka 5 ana kua tofaut na yule aliefaulu vzr ambae anasoma miaka 3lkm mpk achaguliwe na tcu...ila huyu form four anaenda kuomba mwenyewe ili mradi awe na vigezo ok...ila ada cijajua kiukweli ila kwa msaada piga no 0713-757010 st joseph arusha

axente kaka
 
kwa mfano ungeingia kwa website yao ukapata taarifa ambazo ni za kweli na current kungekua na tatizo?
 
Back
Top Bottom