Kubbra Hooda
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 208
- 297
Mkuu kapata mtoto? Mashaallah maana watoto wa2 walifia tumbon kipind cha nyuma ikasemekana ni kutokana na matumiz ya kemikali sumu anazotumia kwenye ngozi yakeSauda analea mtoto na baba mtoto sasa
Mkuu kapata mtoto? Mashaallah maana watoto wa2 walifia tumbon kipind cha nyuma ikasemekana ni kutokana na matumiz ya kemikali sumu anazotumia kwenye ngozi yake
Wee chizi kwelikweli! wasiojulikana unawajua mwee?👆👆
Kumbe huu uzi wa kuomba mi naomba kujua ben saanane yu wapi..
Alijikoboa sana aisee...Mkuu kapata mtoto? Mashaallah maana watoto wa2 walifia tumbon kipind cha nyuma ikasemekana ni kutokana na matumiz ya kemikali sumu anazotumia kwenye ngozi yake
wamemsajili ili asilete habari zake za kichunguzi, jamaa akaingia mkenge, wameua kipaji chake maana hakuna anayeangalia tbcYupo TBC
Kwanini wewe uko wapi..?Wee chizi kwelikweli! wasiojulikana unawajua mwee?
Mi Naomba kujua alipo yna2Huu Uzi bwana
Wapi alipo Fatma AlmasMi Naomba kujua alipo Sam Mahela..!
tunaishi tabora tumebarikiwa watt wa wil ..sijiu nimekujibu??Hallo wana jf, yule mdada Nilimmandi kidizain alivokuwa star TV.
Sahiv yupo wap,? Kaacha utangazaji? Family anayo?
Chuma hicho Mkuu balaa shemwetaWapi Fatma Shemweta & Roy Maganga
Azam tv burudan kwa woteWapi alipo Fatma Almas
Hallo wana jf, yule mdada Nilimmandi kidizain alivokuwa star TV.
Sahiv yupo wap,? Kaacha utangazaji? Family anayo?
dah ahsante haka ka startimes bhana,ngoja nibadilishe kingamuzi,bado anaripoti au anaendesha pindi gani hapo Azam tvAzam tv burudan kwa wote
Umenua aisee, watu wanamuulizia Sauda wewe unaulizia Bensa8! we kiboko!Kwanini wewe uko wapi..?