Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nauli 35,000 × 4 (kwenda na kurudi, kutoka Dar)...Business class.
Room 100,000 ×7 = 700,000
Nauli ndani ya Zenji 120,000 (7days)
Chakula + drinks 30,000 × 7
Viingilio si zaidi ya Tsh.20,000 per kichwa.
Hivyo andaa kama mil.moja hivi, hayo mengine yatajiadjust humohumo.
Hii naiunga mkono, kama hatahitaji kununua chochote, ila akinunua itabidi ajibane zaidi.
Wiki ni kubwa sana kukaa Zanzibar kama una hela ya mawazo.
Zanzibar kama unataka kuinjoi jipange uende shamba siyo ukae mjini.