Naomba kujua Bajeti inayotosha kutembelea Zanzibar


Hii naiunga mkono, kama hatahitaji kununua chochote, ila akinunua itabidi ajibane zaidi.

Wiki ni kubwa sana kukaa Zanzibar kama una hela ya mawazo.

Zanzibar kama unataka kuinjoi jipange uende shamba siyo ukae mjini.
 
Tukizungumzia kwa Unguja,ukiachana na majengo ya kihistoria maeneo mengi ni ya kawaida kabisa!

Labda baadhi ya maeneo ya shamba kama Nungwi, Kiwengwa,kwenye mahotels ni kuzuri
 
Kwa ufupi watanzania hatuna desturi ya kutalii ili kujifunza kwa kuona mandhari na viumbe vilivyomo, mfano ukienda Nungwi high season pale mnarani wanapofuga turtles utakuta kule kumefurika watu weupe tu, wabongo anakuwa mmoja mmoja..
 

Mm labda niende kuchukua namba kwa madem wa kizungu, nipate connection ya kusepa bongo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Thank. You sana boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…