Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Huku kwetu tumepiga marufuku kuuza chakula. Na ndiyo maana huwezi kumuona Msambaa anaomba omba barabarani.😂😂 Kwanini mkuu ?
Huku kwetu tumepiga marufuku kuuza chakula. Na ndiyo maana huwezi kumuona Msambaa anaomba omba barabarani.😂😂 Kwanini mkuu ?
Hebu dadavua zaidi mkuu..Ruvuma inaonewa sana na serikali hii ya kishenzi.watu wa mkoa wa ruvuma wanachama kazi sana lkn serikali haitambui mchango wao.ruvuma wanalima sana mahindi, maharage,ulezi,alizeti nk lkn ukimtazama mkulima huyu utamwonea huruma.kila mwaka anazidi kuwa maskini.hasongi mbele bali anazidi kurudi nyuma.yeye kilimo ni mazoea na si biashara.watu wa ruvuma ni bora wakalima chakula cha kuwatosha wao tu waachane na mazoea.hii serikali haimaanishi mkulima full stop.
Soko gani mkuu unamaanisha gunia la debe sita ni 126,000?Debe 21,000 morogoro manispaa