Naomba kujua bei za jumla za dagaa Dar

Naomba kujua bei za jumla za dagaa Dar

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2015
Posts
3,903
Reaction score
3,856
Salam za mwaka mpya wadau.

Kuna rafiki yangu kaniomba nimtafutie bei za jumla za dagaa kavu katika soko la Kariakoo. Yeye anataka kusupply hapo sokoni.

Naelewa huwa zinabadilika kutokana na demand and supply. Ningefurahi ikiwa mdau atanipatia minimum-maximum prices au hata average prices.

1. Dagaa wa Mwanza
2. Dagaa wa Bukoba
3. Dagaa wa Zanzibar
4. Dagaa a.Kigoma

Natanguliza shukran zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom