Naomba kujua bei za madirisha na milango ya Alminium

Naomba kujua bei za madirisha na milango ya Alminium

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,739
Waungwana nataka kubadili madirisha niweke ya Alminium.. maana nimechoka kurekebisha wavu wa mbu kila mara na familia inawasiwasi na mbu wa Dengue

Sijajua bei ya madirisha haya na milango yake

Asante
 
kiongozi mm nina workshop yangu inaitwa Ndanda Aluminium and glass sq nafanya laki moja na kaema kazi yako kubwa na mambo hayajatulia unanilipa robo tatu na hiyo robo unalipa unalipa taratibu kwa makubaliano 0719 418051
 
Safi sana mkuu, hongera. Ningeshauri signature yako ikawa Ndanda Aluminium and glass ukaweka na namba ya simu kabisa.
 
Asante mkuu.no ya cm nimeweka hapo juu 0719 418051 ofc ipo Toangoma along kigamboni road
 
kiongozi mm nina workshop yangu inaitwa Ndanda Aluminium and glass sq nafanya laki moja na kaema kazi yako kubwa na mambo hayajatulia unanilipa robo tatu na hiyo robo unalipa unalipa taratibu kwa makubaliano 0719 418051

tafadhali naomba breakdown, laki moja kwa skwea mita? Tutajenga kweli?
 
kiongozi mm nina workshop yangu inaitwa Ndanda Aluminium and glass sq nafanya laki moja na kaema kazi yako kubwa na mambo hayajatulia unanilipa robo tatu na hiyo robo unalipa unalipa taratibu kwa makubaliano 0719 418051

Nitakutafuta tufanye mazungumzo ya kupunguziana,vinginevyo watoto watashindwa kwenda shule

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
ebu mpigigie dogo wangu huyu ni fundi mzuri sana +258 8453 63623,usiogope namba piga au tuma msg(usibeep tafadhali) atakupigia na kukupa bei ya ki JF
 
Pale Gerezani kuna workshop nyingi wanatengeneza,workshop zinapokuwa nyingi sehemu na bei inakuwa si kubwa sana...
 
kama upo gongo la mboto hadi maeneo ya airport fundi huyu hapa gharama zake nafuu0713353350
 
Kwa kioo cha one way, sqm 1 =Tshs 100,000 , ni bei halali kabisa kwa dirisha.
 
lakimoja dilisha moja ama mm ndio cjaelewa, au sqear fut moja ndio laki moja, na je mtu akiwa na vioo vyake na akawa na ile alluminium flame zake, utamtengenezea kwa sh. ngap
 
Upana mita moja na urefu mita moja hivyo kama nyumba yako madirisha ni ya size hiyo kila moja laki moja
 
Dah! umeuliza swali la maana sana, ebu mafundi mtusaidie hapa, ina maana mfano dirisha unachukua ur x up x bei au?

From his quote; dirisha la mita moja na nusu upana na urefu wa mita tatu kwa shilingi Laki Moja kwa square meters ni (1.5 x 3) x 100,000 = 450,000

(450,000 x 18%) = 81,000(VAT)
450,000 + 81,000 = 531,000 Ndio bei elekevu Mkuu
 
Back
Top Bottom