Naomba kujua Bei za Ram

πŸ™πŸ™πŸ™
Ila logic iliopo ni kwamba port ya Earphone/mic inatumia sound card ambayo ni built na vifaa vya usb vya audio kama sound card vinakuwa vinapitisha umeme wa kutosha kukuwezesha kutumia external sound card. Kutokana na hizi za kichina kuwa na quality mbovu ni vyema kutafuta Earphone ama mic za usb kabisa. Hizi zinakuwa na built in sound card ndani na kuwa na quality kubwa compare na sound card ya nje ukitumia na earphone/mic za kawaida.
 
sawa ntafanya hivyo
 
hivi Kama sound card ya laptop imekufa nikitumia USB sound card Kuna uwezekano speaker za laptop zikatoa sauti?
 
hivi Kama sound card ya laptop imekufa nikitumia USB sound card Kuna uwezekano speaker za laptop zikatoa sauti?
Haiwezekani, kama port ya mic/earphone imekufa unaweza ukatumia usb sound card kupata tena hizo ports.

Alternative tumia speaker ya nje, ya bluetooth inapendeza zaidi kwenye portability
 
Haiwezekani, kama port ya mic/earphone imekufa unaweza ukatumia usb sound card kupata tena hizo ports.

Alternative tumia speaker ya nje, ya bluetooth inapendeza zaidi kwenye portability
shukrani mkuu!
 
Mwenye wire unaosoma data kwenye hdd: pc aina ya FUGITSU au siemens tuonane 0621440518, 0765395007
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…