Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ANGOLA issue ya Usalama imekaaje?Namibia sio naona maroli mengi yakipeleka mchele na maharage Angola pale vitu vinauzwa kwa dola ambayo naona inawalipa Zambia via sesheke boda mpaka Angola tatizo lao ni upatikanaji wa Visa ukiweza nenda huko Namibia wasouth wamepashika pale kila kitu wanapeleka wao...
Mkuu mimi binafsi sijawahi enda Angola ila kuna kipindi nilitaka kwenda huko nikaghairi...nimeshauri kuhusu chakula kwa kuwa huwa napishana na maroli sesheke boda ya Namibia yaakiitafuta Angola mengi ya Kitanzania..kipindi cha nyuma walikua wanapeka nguo izo za Thailand zilikua bei nzuri kwa dola pale...kuna mdada mmoja yupo mbeya yeye anapeleka chakula kwa sina contact zake...Huko ANGOLA issue ya Usalama imekaaje?
Asante nduguMkuu mimi binafsi sijawahi enda Angola ila kuna kipindi nilitaka kwenda huko nikaghairi...nimeshauri kuhusu chakula kwa kuwa huwa napishana na maroli sesheke boda ya Namibia yaakiitafuta Angola mengi ya Kitanzania..kipindi cha nyuma walikua wanapeka nguo izo za Thailand zilikua bei nzuri kwa dola pale...kuna mdada mmoja yupo mbeya yeye anapeleka chakula kwa sina contact zake...