Hawa wamefunga...matangazo ya AFCON yakiaanza wanaandika "AFCON 2015 RESRICTED"
Kiufupi Azam hawaonyeshi....Wa kuwalaumu ni TBC kama shirika la ambalo linaendeshwa kwa kodi zetu,Mshana and his Co. wameamua kuingia kwenye uhuni na Wachina,TBC kama TV ya Taifa imelipia haki ya matangazo,lkn wachina wameiteka haki hiyo n kuitumia TBC2 kurusha matangazo ambayo inapatikana kimkakati Star Times tu...Wizi mtuuuuupuuuuu!
Mimi naangalia kupitia AZAM TV decoder kwenye channel ya bure inayoitwa CRTV ingiza frequency hii ufurahi 12728 H 30000 .....UBC walionesha mwanzoni D.S*TV wakalalamika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.