Naomba kujua channel zinazohusika na kurusha kombe la dunia 2022

Naomba kujua channel zinazohusika na kurusha kombe la dunia 2022

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Mwenye uelewa na channel za king'amuzi cha star times kinachohusika na kurusha mpira wa kombe la dunia nimesikia TBC one... Ila ni mechi 26 tu vip vip kuhus channel zingine
 
TBC msiwaamini hawachelewi kuweka hotuba ya Baba wa Taifa
 
Back
Top Bottom