Naomba kujua Commission kwa CRDB Fahari Huduma

Yaani hakuna ambaye anafanya hizi misheni ?

phat_07
 
Nimeenda tawi moja huku Tabata Segerea ila hawatoi majibu ya kuelewa zaidi zaidi wanakusisitiza ujiunge

phat_07
 
Kamisheni siyo mshahara kwamba kila mwezi ufanane, kamisheni haifanani inategemea miamala ulofanya na aina ya miamala pamoja na kiasi mtaji ulichonacho kwamba kila mteja anayekuja kwako lazima ahudumiwe, hapa ndo kwenye fumbo utafanyaje usikose flot
 
Pamoja na hayo bado kuna average ya kiasi gani mtoa huduma atapata endapo atafanya transaction ya let say 100K.
Au average ya commission ambayo mtu atapata akiwa na mzunguko mzuri wa wateja na akawa na fixed capital of let say 1M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa najua kuwa kamisheni inategemea lakini nilichokuwa nataka kujua kamisheni ya huduma zake nyingine kama huduma za DAWASCO, TRA, LUKU, NA MALIPO MENGINE YA SERIKALI

phat_07
 
Ili niweze kulinganisha na za SELCOM, kwasababu huduma hizi nyingine ninapofanya ninamachine ya selcom

phat_07
 
Pamoja na hayo bado kuna average ya kiasi gani mtoa huduma atapata endapo atafanya transaction ya let say 100K.
Au average ya commission ambayo mtu atapata akiwa na mzunguko mzuri wa wateja na akawa na fixed capital of let say 1M.

Sent using Jamii Forums mobile app
1m haitoshi utaenda bank mpaka uchanganyikiwe na faida itaishia kwenye usafiri labda hilo eneo wateja wawe wa elfu hamsini hamsini, 1m ukimuekea mteja utapata kama sikosei 2000
 
Pamoja na hayo bado kuna average ya kiasi gani mtoa huduma atapata endapo atafanya transaction ya let say 100K.
Au average ya commission ambayo mtu atapata akiwa na mzunguko mzuri wa wateja na akawa na fixed capital of let say 1M.

Sent using Jamii Forums mobile app
1m haitoshi utaenda bank mpaka uchanganyikiwe na faida itaishia kwenye usafiri labda hilo eneo wateja wawe wa elfu hamsini hamsini, 1m ukimuekea mteja utapata kama sikosei 2000
 
Sawa najua kuwa kamisheni inategemea lakini nilichokuwa nataka kujua kamisheni ya huduma zake nyingine kama huduma za DAWASCO, TRA, LUKU, NA MALIPO MENGINE YA SERIKALI

phat_07
Hapa huwa ni sadaka tu kamisheni yake ndogo sana
 
Niliifanya kwa mwezi mmoja nimerudisha mashine maana faida kiduchu sana...
Kwa siku kuna mtu alikuwa ananipa hadi 30m nimuwekee sasa hapo lazima mtu aende bank aweke mzigo alafu utume kwa huyo mtu....nilipambana mwa mwezi mmoja na kwa siku chini kabisa nilikuwa natuka 5m.mwisho wa mwezi nikapokea 155,000 [emoji16][emoji16].
Nikaizima siku hiyo hiyo maana mtu amaweza kukupa hela ukaenda bank wakasomea ramani ikala kwako.
Nmb ndo wanasema ina commision nzuri.
Hii kazi ukiifanya kama agent uwe na kazi ya miamala tu labda ndo utapata commision kubwa.
Gharama ya machine ni 270,000.
Hapo nimeshairudisha nimekula hasara hiyo niliona kwangu ni biashara kichaa....kazi ya hela ni ngumu sana hapo bado hujaibiwa, kukosema miamala, majambazi nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninavyojua Mimi kila transaction ya milioni unapata 700 tu
Kama ni 200 wangetajirika Sana maagent

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaongea ila hujui, mitandao ya simu laki 6 ukiweka unapata 1400 na ukiweka milioni 1 unapata 1500 hapa wanuaogawana hii hela ni wengi tofauti na wakala wa bank hakuna hivyo vitu
 
Back
Top Bottom