Naomba kujua Commission kwa CRDB Fahari Huduma

Naomba kujua Commission kwa CRDB Fahari Huduma

Niliifanya kwa mwezi mmoja nimerudisha mashine maana faida kiduchu sana...
Kwa siku kuna mtu alikuwa ananipa hadi 30m nimuwekee sasa hapo lazima mtu aende bank aweke mzigo alafu utume kwa huyo mtu....nilipambana mwa mwezi mmoja na kwa siku chini kabisa nilikuwa natuka 5m.mwisho wa mwezi nikapokea 155,000 [emoji16][emoji16].
Nikaizima siku hiyo hiyo maana mtu amaweza kukupa hela ukaenda bank wakasomea ramani ikala kwako.
Nmb ndo wanasema ina commision nzuri.
Hii kazi ukiifanya kama agent uwe na kazi ya miamala tu labda ndo utapata commision kubwa.
Gharama ya machine ni 270,000.
Hapo nimeshairudisha nimekula hasara hiyo niliona kwangu ni biashara kichaa....kazi ya hela ni ngumu sana hapo bado hujaibiwa, kukosema miamala, majambazi nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo mvumilivu, kama kwa mwezi wa kwanza ukapata 150000 ungeendelea ungepata wateja wengi tu
 
Mim naona angalau ukichanganya na huduma nyingine kama vile stationary kidogo inakuwa inalipa

phat_07
 
Namaanisha, unakuwa na mpesa, tigo, na Airtel money, huduma ya stationary then ndio CRDB

phat_07
 
Niliifanya kwa mwezi mmoja nimerudisha mashine maana faida kiduchu sana...
Kwa siku kuna mtu alikuwa ananipa hadi 30m nimuwekee sasa hapo lazima mtu aende bank aweke mzigo alafu utume kwa huyo mtu....nilipambana mwa mwezi mmoja na kwa siku chini kabisa nilikuwa natuka 5m.mwisho wa mwezi nikapokea 155,000 [emoji16][emoji16].
Nikaizima siku hiyo hiyo maana mtu amaweza kukupa hela ukaenda bank wakasomea ramani ikala kwako.
Nmb ndo wanasema ina commision nzuri.
Hii kazi ukiifanya kama agent uwe na kazi ya miamala tu labda ndo utapata commision kubwa.
Gharama ya machine ni 270,000.
Hapo nimeshairudisha nimekula hasara hiyo niliona kwangu ni biashara kichaa....kazi ya hela ni ngumu sana hapo bado hujaibiwa, kukosema miamala, majambazi nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Chonkaaa kumbe ndo hazina faida namna hii?dogo ameomba hz mashine crdb na nmb kapata crdb hahahaa akija pata elfu 50 kamishen naona ataitupa hiyo mashine[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1m haitoshi utaenda bank mpaka uchanganyikiwe na faida itaishia kwenye usafiri labda hilo eneo wateja wawe wa elfu hamsini hamsini, 1m ukimuekea mteja utapata kama sikosei 2000
We mwalimu wako kapata shida sana kukuelewesha.
Wapi nimesema 1m inatosha?
Nilikua najaribu kujenga hoja kwa kutumia mfano ambao ni imaginary tu sasa ndo umejibia kama real fact au hujui maana ya mfano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hayo bado kuna average ya kiasi gani mtoa huduma atapata endapo atafanya transaction ya let say 100K.
Au average ya commission ambayo mtu atapata akiwa na mzunguko mzuri wa wateja na akawa na fixed capital of let say 1M.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali lako ulitaka nijibu kwa 10m? Hongera mwalimu wako wewe alikufundisha vizuri ndo maana ukaja hapa kuuliza
 
Jamani nia ni kueleweshana na sio mabishano, kumbukeni wangine tunasikiliza mawazo yenu nyie wenye uzoefu ili tuweze kusonga mbele au kuweza kufanya maamuzi

phat_07
 
Nilimuuliza mmoja wa agent wa CRDB aliniambia kwamba unatakiwa uwe na capital ya kuanzia 2M ili upewe ile mashine kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo, mtaji unaweza kuwa zaidi au chini ya 2M.
Asante bwana Mbuty,
 
Nilimuuliza mmoja wa agent wa CRDB aliniambia kwamba unatakiwa uwe na capital ya kuanzia 2M ili upewe ile mashine kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo, mtaji unaweza kuwa zaidi au chini ya 2M.
Ni kweli ukiweka kuna hela inakatwa kwa ajili ya machine zinazobaki unarudishiwa
 
Nilienda walinipa form yao mashine unalilia 236000

phat_07
 
Back
Top Bottom