Naomba kujua cv za watangazaji wa star tv hususani hawa wa kike

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
349
Waandishi wa habari ni watu muhimu ktk maendeleo na ustawi wa jamii/nchi yoyote duniani.Hivyo ni muhimu sana kuwa na vyombo vya habari makini vyenye waandishi/watangazaji makini.Hakuna ubishi ktk hili na mimi nashawishika kusema itv ni chombo makini cha hbr kinachozingatia hilo,walakini star tv inanitia shaka hasa kwa watangazaji wake wa kike weledi wao ni hafifu.Anyway nisaidieni kujua cv zao hususani sauda mwilima,ivona kamuntu na wengineo.
 

Unataka kuwa ajiri??toa yako nawe tuone kama inalipa pia
 
Namuhusudu Symphrose Makungu, japo sijui elimu yake ilivyo. Hapo awali nilimuhusudu Joan Itanisa na kwa upande wa RFA alikuwepo Mkamiti Juma (siku hizi yupo VOA akijulikana kama Mkamiti Kibayasi).
 
Ivoni kamuntu kasoma chuo cha buguruni Times
 

kwani umenotice nini ambajcho ni Abnormal?
 
mmh mpaka kamuntu unamtilia shaka~ huyu dada namkubali sana na ana uwezo mkubwa sana kwenye hii tasnia, kwa sauda uwezo wake ni kuburudisha na kuongea na wasaani hata usipokuwa na elimu kubwa u can manage
 
Mimi nina hamu sana ya kujua CV ya Tom Chilala.Huyu bwana ananishangazaga sana na utangazaji wake!
 
sauda mwilima itakuwa kaishia form 4 ila sina uhakika
Jamani wadau! Tuache character assassination ! Hapa mbona tunawanyima raha hawa watu bila makosa yoyote? Huwezi pendwa na kila mtu duniani hapa bwana acheni kudhalilisha watu kwenye JF! Ninyi mna weledi wa kiasi gani kazini kwenu? Au sababu hatujui mnafanyia wapi! Simple minds discuss people !!! Let us discuss at least events!!!!!!! If not theories!!!
 
mmh mpaka kamuntu unamtilia shaka~ huyu dada namkubali sana na ana uwezo mkubwa sana kwenye hii tasnia, kwa sauda uwezo wake ni kuburudisha na kuongea na wasaani hata usipokuwa na elimu
kubwa u can manage

Kweli kabisa Sauda yuko social na anaweza ku mingle na watu wa jamii zote na rika zote bila shida! Anawamudu sana wasanii ni kama yule wa kipindi cha uswazi cha ITV na Yvona Kamuntu ni serious person anapendezea pia kazi yake ana play a proper role kwenye kutangaza taarifa ya habari. Huwezi mwambia akahoji wasanii akapendezea kama Sauda na pia Sauda itamchukua muda kuwa na ile seriousness ya Yvona kutangaza taarifa ya habari, so kila mtu ni role player kwenye eneo lake la kazi! Na kwa dizaini hii tunakamilishana! Asante kwa kuliona hilo mkuu!
 
Acha majungu wewe,Star TV majembe labda ulizia CV za watu wa kilauzi TV.
 
una hoja nzuri,ila ingependeza zaidi kama ungeonyesha eneo au sehemu ambayo katika utangazaji wao wanakosea,na utoe solution/sugestion jinsi ya kuboresha hapo ambapo wanakosea kuliko kuomba cv bila mapendekezo tutakuwa hatujenge,thanx
 
mmh mpaka kamuntu unamtilia shaka~ huyu dada namkubali sana na ana uwezo mkubwa sana kwenye hii tasnia, kwa sauda uwezo wake ni kuburudisha na kuongea na wasaani hata usipokuwa na elimu kubwa u can manage

Kasoma.......India Mumbai university...primary kijijin kwao kakonko kigoma...
 
kw ujumla SAHARA MEDIA GROUP(kiss fm, rfa na star tv) WANAFANYA VZUR KWA hapa bongo. Mi nina wasiwasi na hawa itv, wanatumika na magamba ukimuondoa masakuu mkongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…