TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 349
Waandishi wa habari ni watu muhimu ktk maendeleo na ustawi wa jamii/nchi yoyote duniani.Hivyo ni muhimu sana kuwa na vyombo vya habari makini vyenye waandishi/watangazaji makini.Hakuna ubishi ktk hili na mimi nashawishika kusema itv ni chombo makini cha hbr kinachozingatia hilo,walakini star tv inanitia shaka hasa kwa watangazaji wake wa kike weledi wao ni hafifu.Anyway nisaidieni kujua cv zao hususani sauda mwilima,ivona kamuntu na wengineo.