Naomba kujua dakitari

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Nina miaka 27 kuna madhara gani kukaa bila kufanya mapenzi mpaka sasa Nina mwaka sasa sifanyi Na sifanyi hata punyeto japo napata wakat mgumu sana

Je kuna madhara au kufanya mapenzi nikujiendekeza tu
 
Kuendekeza kufanya mapenzi ni setting ya brain tu utakavyoiset,mwili una natural mechanism ya kubalance kila kitu mwilini hivyo haviwezi kuleta madhara yeyote.
 
Aiseee natamani niwe kama wewe sasahivi nagegeda mpaka rafiki zangu wa kike. Na wana wachumba zao

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hakuna madhara yoyote...

Jua tu ukikaa sana unasahau namna ya kufanya mapenzi...

Mwanamke akikuvulia tu unamwaga hata kabla hujamgusa...

Cc: mahondaw
 
Inaleta afya kama kweli umedhamilia na haushughulishwi na maumbile yako. Na inaleta stress sana kama hauko tayari kuwa katika hali hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…