Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Nina miaka 27 kuna madhara gani kukaa bila kufanya mapenzi mpaka sasa Nina mwaka sasa sifanyi Na sifanyi hata punyeto japo napata wakat mgumu sana
Je kuna madhara au kufanya mapenzi nikujiendekeza tu
Je kuna madhara au kufanya mapenzi nikujiendekeza tu