Poleni kwa kazi! Naomba kuuliza kama mtu unaona unadalili zinazofanana na dengue na kwa bahati mbaya eneo ulilopo vipimo vya ugonjwa huo havijafika ni dawa zipi tunazoweza kuzitumia ili kutibu gonjwa hilo?
Nawasilisha!
Kunywa panadol na maji kama lita 3 kwa siku kisha unaweza kuwa unatibu na dalili zinazojitokeza mfano mimi magoti na mikono kukosa nguvu novaphex ilinisaidia sana pia kuondoa kichefu chefu kwa sasa napambana na kizungu zungu kikiisha naamini nitakuwa salama