Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaa sawa mkuuPanadol na unywe maji dumu moja liishe kila siku
Kunywa panadol na maji kama lita 3 kwa siku kisha unaweza kuwa unatibu na dalili zinazojitokeza mfano mimi magoti na mikono kukosa nguvu novaphex ilinisaidia sana pia kuondoa kichefu chefu kwa sasa napambana na kizungu zungu kikiisha naamini nitakuwa salamaHaaa sawa mkuu