Habari wakuu
Leo Naomba kujua Debe 1 ni sawa na kilo ngapi?
Natanguliza shukrani!.
Nenda kalipime kwenye mzani.Habari wakuu
Leo Naomba kujua Debe 1 ni sawa na kilo ngapi?
Natanguliza shukrani!.
HahahahaDah maswali mengine kabla hujamjibu muuluza swali lazima wazo la kumtafakari muuliza swali likuijie kichwani.
Kg 20, kwa mazao yanayouzwa kwa kupima uzito kwa kg mfano mahindi, mchele, maharage, vitunguu swaumu, n.k mazao mengine yanapimwa kwa kuangalia ujazo (volume)...
Pengine debe la haja kubwa. Jamaa hajafafanua vizuri, atakua amesha tapeliwa huyo.Debe kama debe au?
La maji ni sawa na kg 20Habari wakuu.
Leo naomba kujua debe 1 ni sawa na kilo ngapi?
Natanguliza shukrani!.
Mpunga kg 15/16 mwisho hapo vinginevyo huo mpunga haujakaukaKama ni mahindi 17_20kg
Mchele20+kg
Ufuta13_15kg
Mpunga17+kg
Mbaazi20+kg
Inategemea debe la nini .Habari wakuu.
Leo naomba kujua debe 1 ni sawa na kilo ngapi?
Natanguliza shukrani!.
Inaonekana ulikimbia hisabati. Debe kama lilivyo, linapima volume (ujazo). Kama unakumbuka swali, debe la unyayo, na debe la mawe lipi kubwa? Hakuna kikubwa tukiongelea ujazo. Yote yana ujazo sawa wa debe 1.Habari wakuu.
Leo naomba kujua debe 1 ni sawa na kilo ngapi?
Natanguliza shukrani!.
Yes, mkuu, pia namna ulivyo andaliwa wakati wa kuvuna, kisa sehemu huwa wanaanika chini, vumbi+mchanga huwa zinaongeza uzitoMpunga kg 15/16 mwisho hapo vinginevyo huo mpunga haujakauka
Haujamelekeza kuwa total weight inabidi atoe na uzito wa debe tupu jumlisha uzito wa ufuko wa sarufeti ili apate uzito halisi wa kitu alicho pima.Inaonekana ulikimbia hisabati. Debe kama lilivyo, linapima volume (ujazo). Kama unakumbuka swali, debe la unyayo, na debe la mawe lipi kubwa? Hakuna kikubwa tukiongelea ujazo. Yote yana ujazo sawa wa debe 1.
Weight (uzito) ni kitu tofauti kabisa na debe halipimi huo uzito ambao ww ndio unataka kuujua kwa kilo.
Ili kujua uzito, tafuta mizani tu. Hakuna solution nyingine hapo. Nenda kwa muuza na debe, jaza debe lako, weka debe juu ya mizani, ndio ujue ni kilo ngapi.
Mizani ya kuning'iniza ni nzuri zaidi na hiyo itabidi uweke debe ndani ya mfuko wa safleti ndio ulining'inize kwa mizani na kupima.
Naongelea mizani kama zile ziko mashine wanapimia uzito wa mahindi ya kusaga nk.
Pia kumbuka madebe wengine wameyachakachua na kuyapunguza kina.