daniel danya
Member
- Aug 21, 2014
- 71
- 2
hasara yake ni kwamba sasa wanaotaka kujiunga na vyuo wanalazimika kuchagua vyuo kanakwamba ni shule za sekondari
mfumo huu sidhani kama uko huko duniani
Ni system ambayo hata Canada and uk pia wana apply kama sisi kupitia TCU. .
na huko canada na uk wanapanga foleni benki kununua vocha kama bongo?
TCU inavunja ndoto za watu mtu unataman usome kozi fulan na matokeo yako mazur unatupwa eneo jengne kabisa yaan n sheedaah