Naomba kujua faida na hasara za TCU

Naomba kujua faida na hasara za TCU

daniel danya

Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
71
Reaction score
2
Wadau wa elimu naomba leo tujadiri faida na hasara za TCU katika elimu ya chuo kwa upnde wangu mm naona haina faida yoyote ile.... ni bora watu wangekuwa wanachukua form chuoni lakin co kupitia TCU... naomba na ww uchangie tujifunze kitu tujue faida yao na hasara za TCU
 
hasara yake ni kwamba sasa wanaotaka kujiunga na vyuo wanalazimika kuchagua vyuo kanakwamba ni shule za sekondari
mfumo huu sidhani kama uko huko duniani
 
Wanafaidisha tu vyuo vya private, mtu unachaguliwa kwenye chuo ambacho hata ukuomba wanakulazimisha tu.
 
Faida yake imerahisisha ktk uombaji wa vyuo na imepunguza gharama.Mathalani ktk kuchagua vyuo 5 ungelazimika kwenda/kuwasiliana na kila chuo ili kupata fomu.
 
hasara yake ni kwamba sasa wanaotaka kujiunga na vyuo wanalazimika kuchagua vyuo kanakwamba ni shule za sekondari
mfumo huu sidhani kama uko huko duniani


Ni system ambayo hata Canada and uk pia wana apply kama sisi kupitia TCU. .
 
mbona bodi ya mikopo na NACTE wanatumia njia ya mpesa badala ya kupiga foleni kununua vocha - kiasi cha tcu kujipanga
 
TCU inavunja ndoto za watu mtu unataman usome kozi fulan na matokeo yako mazur unatupwa eneo jengne kabisa yaan n sheedaah
 
Ina umuhmu wake ila kwenye hili la kukichagulia kozi na kukupa condition naona c vzur ni hasara kwao
 
Inapunguza confusion kwn mstly unakua selected kwa chuo kmoja tu ila inaleta tumbo joto mnooo kwa wanaohucka na kuxbr matokeo yao....yn ts rly a hard task...
 
Back
Top Bottom