Naomba kujua gharama za kusoma diploma ya kilimo

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
2,711
Reaction score
1,017
Habari wana jamvi?
Naomba kwa wanaojua gharama za kusoma diploma ya kilimo kwenye vyuo vya binafsi na vile vya serikali.
 
Habari wana jamvi?
Naomba kwa wanaojua gharama za kusoma diploma ya kilimo kwenye vyuo vya binafsi na vile vya serikali.

hauna wino mwingine mkuu? Vipi ulianzia cheti au upo six na unajua tareh ya ku2ma maombi?
 
Kwa vile ulishagonga cheti, dip utapiga mwaka mmoja tu na kwa vyuo vya serikali (ambavyo si rahisi kupata nafasi hasa km hauna m2) inafika laki nne na nusu hivi, hizi gharama niliambiwa na rafiki zangu waliokua wanasoma mati-tumbi na kwa upande wa vyuo vya binafsi huko gharama zinakwenda mpaka 1.5M na inaweza ikazidi hapo kidogo but kwa ushauri wangu vyuo vingi vya kilimo vya binafsi ni wababaishaji wamekaa kitapeli tapeli hivyo uwe makini sana la si vyo utajikuta unasoma chuo kumbe chuo chenyewe hakijasajiliwa be very carefull mana kuna vyuo vya kilimo vya binafsi haya yalishawahi kutokea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…