Kwa vile ulishagonga cheti, dip utapiga mwaka mmoja tu na kwa vyuo vya serikali (ambavyo si rahisi kupata nafasi hasa km hauna m2) inafika laki nne na nusu hivi, hizi gharama niliambiwa na rafiki zangu waliokua wanasoma mati-tumbi na kwa upande wa vyuo vya binafsi huko gharama zinakwenda mpaka 1.5M na inaweza ikazidi hapo kidogo but kwa ushauri wangu vyuo vingi vya kilimo vya binafsi ni wababaishaji wamekaa kitapeli tapeli hivyo uwe makini sana la si vyo utajikuta unasoma chuo kumbe chuo chenyewe hakijasajiliwa be very carefull mana kuna vyuo vya kilimo vya binafsi haya yalishawahi kutokea!!