Naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa

shumpert

Senior Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
136
Reaction score
149
Wakuu habari zenu,

Naombeni kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule na jiko, katika vtu vifuatavo hapa Dar es Salaam.

1 Mawe, kokoto, na mchanga
2 Matofali ya kuchoma
3 Sementi
4 Nondo
5 Mbao, na milango
6 Mabati
7 Grills, vioo,
8 Rangi, misumari, tails
 
Mara kadhaa,ukisikiliza comments za watu humu,unaweza kimbia.
Kama miez mitatu au NNE nyuma nilileta bandiko nikiomba ushauri.

Nilikua na 22M hivi niliulizia kama naweza jenga 6rooms.
Osh! Majibu na comments zilitaka kunirudisha nyuma.
Lakin nikaanza hivyohivyo.Nilitafuta local fundi ni mzuri,tukaanza ujenzi.
Mpaka sasa room6,zimeisha,nimepiga draft kwaajili ya Gpsum,plasta ndani,raf floo,milango ya ndani,grill za madirisha 10, karo na choo cha nje ,wire ring, kulipia umeme vyote tayari,
Mpaka hapo nimetumia abt 24M.
Ndugu nashauri usiogope,we anza,lkn hakikisha unatafta local fundi n wazuri,na garama zao ziko chini sana.
Sasa hivi Kazi hakuna so ukiwahitaji,weka fungu mezani,wambie anaeweza afanye kazi.
Cha muhimu,usimamie mwenyewe.
Usimuachie MTU akanunue material wala kusimamia,hapo utaibiwa.
 
0624088590 fundi mahiri wa ujenzi
 
0624088590 fundi mahiri wa ujenzi
 
Watu wanatishana sana ila nilichogundua Wengi wao hawajui hata cement mfuko Tsh ngapi.
 
Kiongozi ulichosema ni sahihi kabisa. Nimemaliza nyumba ya vyumba 3 kimoja master jiko na stoo kwa 20mil. nimekomaa mwenyewe na fundi wa kawaida na tofari nilikodi machine nikafyatua mwenyewe.
 
Kwa Ujenzi wa Nyumba

Ujenzi wa Godown

Ujenzi wa Maghorofa

Kwa Kutumia
1.Interlock Block
2.Tofali za Aina Mbalimbali(Chipping )

Kwa Ujenzi wa Nyumba Hadi Tzs Million 15

Unakaribishwa Kwa Ujenzi Safi

Kwa Mafundi Waliobobea Kwnye Kampuni Yetu.

Tupigie kwa

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)

ONE2ONE FOCUS

DAR ES SALAAM TANZANIA

MAKUMBUSHO STAND DSM

Tunajenga Mkoa Wowote Tanzania
 
Inategemeana na ubora wa nyumba yenyewe unayoiongelea kwa hyo usilaumu wanaokwambia gharama tofauti na hizo, nyumba moja lakini muonekano tofauti kulingana namna Mtu alivyowekeza pesa.
 
Hao waliokuwa wanakukatisha tamaa bado wanaishi nyumba za kupanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…