Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji tofali za kuchoma dar nitapata wapi?Kwa Ujenzi wa Nyumba
Ujenzi wa Godown
Ujenzi wa Maghorofa
Kwa Kutumia
1.Interlock Block
2.Tofali za Aina Mbalimbali(Chipping )
Kwa Ujenzi wa Nyumba Hadi Tzs Million 15
Unakaribishwa Kwa Ujenzi Safi
Kwa Mafundi Waliobobea Kwnye Kampuni Yetu.
Tupigie kwa
0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
ONE2ONE FOCUS
DAR ES SALAAM TANZANIA
MAKUMBUSHO STAND DSM
Tunajenga Mkoa Wowote Tanzania
Boma lililoezekwa limekula 30m? Hebu naomba hesabu zake tafadhali.Kama hii hapo ishakula 30M,
Ila nlichojifunza ni kuwa ujenzi wa nyumba unakatisha tamaa sana hasa kama hela yako ni ya kuunga unga.View attachment 862641View attachment 862642
Duh si mchezo. Kumbe wanaopanga wanapenda tu.Nimejengabedroom 2 kwa mil 3 tu.
Gharama kubwa ilikua bati na milango
Kama hii hapo ishakula 30M,
Ila nlichojifunza ni kuwa ujenzi wa nyumba unakatisha tamaa sana hasa kama hela yako ni ya kuunga unga.View attachment 862641View attachment 862642
Mkuu unambishia hadi mtu aliyetoa pesa yake mfukoni kufikia hapo..Si kweli, boma kama hilo limekula sana 15mil.. Labda kama unajenga kwa simu...
Big up Mkuu na hongera sana, tatizo linakuja unapokuwa huna mtu wa kusimamia lazima cost zitakuwa juu sana.Mara kadhaa,ukisikiliza comments za watu humu,unaweza kimbia.
Kama miez mitatu au NNE nyuma nilileta bandiko nikiomba ushauri.
Nilikua na 22M hivi niliulizia kama naweza jenga 6rooms.
Osh! Majibu na comments zilitaka kunirudisha nyuma.
Lakin nikaanza hivyohivyo.Nilitafuta local fundi ni mzuri,tukaanza ujenzi.
Mpaka sasa room6,zimeisha,nimepiga draft kwaajili ya Gpsum,plasta ndani,raf floo,milango ya ndani,grill za madirisha 10, karo na choo cha nje ,wire ring, kulipia umeme vyote tayari,
Mpaka hapo nimetumia abt 24M.
Ndugu nashauri usiogope,we anza,lkn hakikisha unatafta local fundi n wazuri,na garama zao ziko chini sana.
Sasa hivi Kazi hakuna so ukiwahitaji,weka fungu mezani,wambie anaeweza afanye kazi.
Cha muhimu,usimamie mwenyewe.
Usimuachie MTU akanunue material wala kusimamia,hapo utaibiwa.
Mkuu unambishia hadi mtu aliyetoa pesa yake mfukoni kufikia hapo..
Mara kadhaa,ukisikiliza comments za watu humu,unaweza kimbia.

Unachosema ni sahihi. Mm nimefikia hapo kwa sh 19,450,000.Ndio nimemwambia inawezekana alikuwa anajenga kwa simu au alikuwa anawapa watu tu hela, boma la vyumba vitatu, master moja, public toilet, jiko na store(standard house) huwa ni 10m ukisimamia mwenyewe vizuri ila ukijenga kwa simu au kutoa tu hela itakuwa 20m. Nina uzoefu na ninachokiongea..
Wengi wanaishi kwa mashemeji zao humu....sasa hv wanasubiri chai na mikate.....kisha waingie chooni wakaflash...Watu wanatishana sana ila nilichogundua Wengi wao hawajui hata cement mfuko Tsh ngapi.
Webpage not availableKupata vifaa vya ujenzi wa nyumba kwa bei nafuu tembelea....
http://stores.dctstore.co.tz
Mkuu unambishia hadi mtu aliyetoa pesa yake mfukoni kufikia hapo..