Naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa

Niko serious mkuu fundi kanipigia hesabu hiyo, so sikuwa na uhakika sana ndo maana nimeleta suala hili hapa
 
Kiongozi ulichosema ni sahihi kabisa. Nimemaliza nyumba ya vyumba 3 kimoja master jiko na stoo kwa 20mil. nimekomaa mwenyewe na fundi wa kawaida na tofari nilikodi machine nikafyatua mwenyewe.
Unamanisha ineisha boma tu au na kupaua?
 
Umejenga nyumba au banda mkuu? Banda ni aina ta jengo linalokua na vyumba vinavyoangaliana na korido ndefu inayotenganisha hilo jengo husika..je umejenga nyumba au banda mkuu?
 
Umejenga nyumba au banda mkuu? Banda ni aina ta jengo linalokua na vyumba vinavyoangaliana na korido ndefu inayotenganisha vyumba husika..je umejenga nyumba au banda mkuu?
 
Umejitahidi ila paa hukupata fundi mzuri na ramani yako ni ya kizamani mno.
 
Nimeunga mkono mkuuu 100%
 
Kiongozi ulichosema ni sahihi kabisa. Nimemaliza nyumba ya vyumba 3 kimoja master jiko na stoo kwa 20mil. nimekomaa mwenyewe na fundi wa kawaida na tofari nilikodi machine nikafyatua mwenyewe.
Umetumia akili kubwaaz mkuu mi naona ukiwa na muda unaweza hiyo nyumba yako umepiga hadi rangi au umeishia kwenye plaster
 
Kujenga na kumaliza nyumba inategemea na quality ya materials na finishing yako,kwa nyumba standard atleast na wewe uonekane unaenda na wakati kwa nyumba zetu hzi za kisasa,atleast uwe na 40+,chini ya hapo utapata nyumba ya hadhi ya chini sana
na hapo uko benet na fundi sio unajenga kwa simu.
 
Kiongozi ulichosema ni sahihi kabisa. Nimemaliza nyumba ya vyumba 3 kimoja master jiko na stoo kwa 20mil. nimekomaa mwenyewe na fundi wa kawaida na tofari nilikodi machine nikafyatua mwenyewe.
Weka picha acha porojo
 
Kujenga kuna hitaji moyo sana, nna jenga mwaka wa nne huu na nyumba haijaisha, nishatupa zaidi ya million 50 hapo chini, niseme tu gharama za kujenga zinategema unajenga nyumba ya namna gani?

Unaweza ukawa na 15m ukajenga nyumba Na unaweza ukawa na 50m ukajenga nyumba, inategema tu unajenga nyumba ya namna gani na uko mkoa gani! Hilo tu mengine

Kujenga kusituogopeshe tujenge tu na kiasi chochote ulichonacho unaweza kujenga kabisa wala sishangai.

Lkn waweza nunua pia
 
Mkuu unambishia hadi mtu aliyetoa pesa yake mfukoni kufikia hapo..
Kwani wabongo huwajui kujifanya much know sheikh!!?kwa macho ya kawaida hapo hyo hela imetumika kununua nn?tena inaonekana iko mkoanii.tofali ya kuchoma haizid sh200.hyo hela umeenda kwenye cement,au mbao?akili ya kuambiwa changanya na yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…