Naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa

Kwa maisha ya sasa,ukitaka nyumba ya kisasa ya vyumba vitatu
Budget ianzia million 45 mpaka 60m kilingana na eneo haizidi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…