habari mkuu...mamlaka ya TRA haiangalii CIF ya gari ambalo unainunua..bali wanaangalia aina ya gari, cubic capacity cc na manufacture year ili kupata gharama za kodi i.e import duty,excise duty, vat...TRA wana muongozo na electonic calculator ambayo ipo kwenye website yao ya Tanzania Revenue Authority - Home wanaangalia hivo vitu ambavyo nimevitaja. Ili kuepuka utafauti wa ulipaji kodi...CIF aint matter. Thanks u in advance.