Naomba kujua gharama zote Za kutoa gari bandarini

Nyorji

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
238
Reaction score
98
Wadau naomba kujua gharama zote nitakazolipa hapa Dar es salaam mpaka chombo kiingie mkononi, ikiwa CIF ni US dollars 2000

Thanks in advance
 
habari mkuu...mamlaka ya TRA haiangalii CIF ya gari ambalo unainunua..bali wanaangalia aina ya gari, cubic capacity cc na manufacture year ili kupata gharama za kodi i.e import duty,excise duty, vat...TRA wana muongozo na electonic calculator ambayo ipo kwenye website yao ya Tanzania Revenue Authority - Home wanaangalia hivo vitu ambavyo nimevitaja. Ili kuepuka utafauti wa ulipaji kodi...CIF aint matter. Thanks u in advance.
 






naomba night pm namba zako niweze kukuliza mambo mengi yanayonipa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…