Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
KwedukwazuHayo meupe yapo maeneo ya Kati ya Mbwewe na Segera.
Kijiji cha kwadukwazu debe elfu mbilliMkuu unaweza kunisaidia ABC
...kweli, nmeyaona jana pale pembeni tu ya barabara ya kuelekea mbezi ukitokea round about ya kwenda kaweKAWE pia yapo hayo yote,, akaulize tu ila bei itakuwa juu kidogo
Aangalie avater yangu afu alete order tu...kweli, nmeyaona jana pale pembeni tu ya barabara ya kuelekea mbezi ukitokea round about ya kwenda kawe
Dolomite iyo; unataka tani ngapi nikuletee huo mzigo wa kokoto
Kwa mahali nilipo Mimi huwa wanayaagiza kutoka China. Sina uhakika kama locally na ambayo ni natural yanapatikana