Hajim,
Nakuwekea hapo chini kitabu cha maisha yake alichoandika mwenyewe
kwa mkono wake.
In Shaa Allah ukimaliza rejea tena tumjadili Martin Kayamba na nyakati
zake kwani wenzake enzi hizo walikuwa, Kleist Sykes, Erika Fiah kwa
kuwataja wachache: