Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajim,naomba kuifahamu historia ya Martin Kayamba
Nami nitapata ilimu.Hajim,
Nakuwekea hapo chini kitabu cha maisha yake alichoandika mwenyewe
kwa mkono wake.
In Shaa Allah ukimaliza rejea tena tumjadili Martin Kayamba na nyakati
zake kwani wenzake enzi hizo walikuwa, Kleist Sykes, Erika Fiah kwa
kuwataja wachache:
http://katiba.humanrights.or.tz/ass...Life and Work in East Africa-1935_2550_en.pdf
Tibim,Alikuwa ni nani