Mtoko wa Pasaka Live show from Mcity. Sponsored by Wasafi πUnaongelea nini mke wangu kipenzi nikupendaye kwa moyo wote?
AaahaaaMbna inasemekana ni Burundi.
NdiyoAna asili ya huko?
Ya kweli,kwasababu za kihistoria,watusi wapo maeneo hayo,ni wazuri sana halafu hawana sifa ya umalaya,tofauti na wadada wanaosifika kwa uzuri wa Manyara au Singida.Mmmm ya ukweli hayo ?
sawa mkuuNdiyo
Me naona kidole chake kina petendio namcheki hapa
ndo amepelekea nimeuliza swali hilo
Angesema mtoto wa kitutsi kwani watutsi wapo wa Burundi na RwandaMbna inasemekana ni Burundi.
aiseeMe naona kidole chake kina pete
Google ina dox za 2020 ni kama ni mwaka aliotengana na ndoa yake.
Mnajua kuongea mataptap sijui stori za kijiweni?Ya kweli,kwasababu za kihistoria,watusi wapo maeneo hayo,ni wazuri sana halafu hawana sifa ya umalaya,tofauti na wadada wanaosifika kwa uzuri wa Manyara au Singida.
Konde boi Harmonize?aisee
konde boy si alikuwa anamnyatia?
Aliwahi kuwa na kamgogoro na mmewe.....wana siasa sio watu..Me naona kidole chake kina pete
Google ina dox za 2020 ni kama ni mwaka aliotengana na ndoa yake.
niliona amemweka Ig statusKonde boi Harmonize?
Dah! Sijui, na ningejua haki ningemweka kwa maombi vitu vibume. Shusho sio type za hao walamba lips π€
Ouk!!Aaahaaa
Mrundi/Mnyarwanda who cares mommy!
Do your homework
Btw,pole na kifungo
Oooh hapo sawaaAngesema mtoto wa kitutsi kwani watutsi wapo wa Burundi na Rwanda
Si walisha elewana? Mbna kuna siku niliona FB ktk ukurasaa wake, alipost clip akiwa na mumewe pale kanisani kwake Ubungo,Aliwahi kuwa na kamgogoro na mmewe.....wana siasa sio watu..
Rejea mzee mamvi, mwenye sikio na asikie
Hilo neno "amaize" maana yake ni nini?Ana kibesi flani amaize
Abbrev. slang Ya Amazing.Hilo neno "amaize" maana yake ni nini?
Mbona kijijini kwetu wamenikatalia nilivyowatajia?Abbrev. slang Ya Amazing.