Naomba kujua historia ya Christina Shusho

Angesema mtoto wa kitutsi kwani watutsi wapo wa Burundi na Rwanda
Kagame hataki kusikia mtu akitamka Tutsi au Hutu. Akisoma huki ulichoandika atafanya kila awwzalo aweze ku hack account yako ili akujue, akutafute na akushushhulikie.
 
Punguzeni kidogo basi, alishaolewa akafiwa na mumewe ni mama na ana watoto kadhaa hamjawahi mfuatilia albums zake za hapo nyuma ?
😅😂😅 Alifiwa na mume yupi acha uongo basi... Huyo dada ndoa yake ilivunjika kwasabab ya uzinzi wake... Sasa hivi analiwa tu hovyo, makanisa mengi yamemtenga kwasabab ya uzinzi wake...
 
Ya kweli,kwasababu za kihistoria,watusi wapo maeneo hayo,ni wazuri sana halafu hawana sifa ya umalaya,tofauti na wadada wanaosifika kwa uzuri wa Manyara au Singida.
Kama Katavi wapo wenyeji, japo Watusi wapo ila walikuwa wakuishi kwenye makambi yao, kwa umalaya sawa hawana hizo tabia kivile, ila Watusi inasemekana hawapendi kuzaa na watu wengine au kabila nyingine unaweza muoa lakini yupo mtusi anayekuja kupanda mbegu [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha wahutu wamekukosea nini, ila watu wakazi tu urembo kwao mmm mbalimbali kabisa kama wamama wakinyaki[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo ukweli hawazai na watu au kabila nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…