Beverlyn
JF-Expert Member
- Aug 17, 2019
- 704
- 2,907
Pole zenu.. official Lg mtazikuta kwa official communication huko 😊Mbona kijijini kwetu wamenikatalia nilivyowatajia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole zenu.. official Lg mtazikuta kwa official communication huko 😊Mbona kijijini kwetu wamenikatalia nilivyowatajia?
Wameniambia kama hujui maana ya maneno usiandikeandike tena.Nimeitikia na kusema,sawa.Pole zenu.. official Lg mtazikuta kwa official communication huko 😊
Punguzeni kidogo basi, alishaolewa akafiwa na mumewe ni mama na ana watoto kadhaa hamjawahi mfuatilia albums zake za hapo nyuma ? sister amebarikiwa
 anajua kufanya live performance
hivi ameolewa?
Acha kumchafua Basi unapata faida gani kwa hiki unachokiandika?Ndie muimba gospel anayeongoza kuliwa na kila mtu mwenye vijihela au jina mjini...
Pole kwake sana.Ukimuona umwambie anapoongea awe real.Asiigize.Punguzeni kidogo basi, alishaolewa akafiwa na mumewe ni mama na ana watoto kadhaa hamjawahi mfuatilia albums zake za hapo nyuma ?
Kivipi ni nini amewahi kukuigizia ? Personal interest zako Baki nazo mwenyewe usiwabebeshe watu mizigo isiyowahusuPole kwake sana.Ukimuona umwambie anapoongea awe real.Asiigize.
Sio kwamba unakiherehere tu? Unatafuta formal Lg mitandaoni?Wameniambia kama hujui maana ya maneno usiandikeandike tena.Nimeitikia na kusema,sawa.
Umeuliza swali.Kabla haujajibiwa unaongeza ni personal interest.Hivi unaelewa maana ya personal interest au ulisikia kijiweni mtu anaongea ndiyo na wewe ukaja na hilo neno JF?Kivipi ni nini amewahi kukuigizia ? Personal interest zako Baki nazo mwenyewe usiwabebeshe watu mizigo isiyowahusu
Una kisebengo wewe 😂Umeuliza swali.Kabla haujajibiwa unaongeza ni personal interest.Hivi unaelewa maana ya personal interest au ulisikia kijiweni mtu anaongea ndiyo na wewe ukaja na hilo neno JF?
Hujui ulichoandika na marangi yako kichwani kama mcheza show wa Bozi Boziana.Sio kwamba unakiherehere tu? Unatafuta formal Lg mitandaoni?
Umeuliza maana umepewa.. then? Ulidhani sijui nilichokiandika?
😂😂🚮Hujui ulichoandika na marangi yako kichwani kama mcheza show wa Bozi Boziana.
Wewe umesema anakuigizia Sasa eleza amekuigizia nini umemtaka kakuchomolea ndio ukaona kakuigizia ? Punguza ujinga sometimes ujinga ni mzigoUmeuliza swali.Kabla haujajibiwa unaongeza ni personal interest.Hivi unaelewa maana ya personal interest au ulisikia kijiweni mtu anaongea ndiyo na wewe ukaja na hilo neno JF?
Kisebengo nimekiacha mto Malagarasi.Una kisebengo wewe 😂
Acha tamaa kijana.Ila ana shepu Fulani hivi
Huelewi hata maana ya ‘slang. Emu laza fuvu hilo 😊Hujui ulichoandika na marangi yako kichwani kama mcheza show wa Bozi Boziana.
Siyo "emu"!Lugha yako kama umetoroka Kivu Mashariki.Ni "hebu"!Huelewi hata maana ya ‘slang. Emu laza fuvu hilo 😊
Napenda nachokionaAcha tamaa kijana.
Huyo jamà a nilikua namuona wa maana leo ndio nimegundua kumbe ni bonge moja la kiazi, kweli JF wajinga hawaishiHuelewi hata maana ya ‘slang. Emu laza fuvu hilo 😊