Naomba kujua historia ya Christina Shusho

Naomba kujua historia ya Christina Shusho

TAHADHARI: HUYU MDADA KAOLEWA EPUKA MATAPELI, KIDOLENI NI PETE KAMA USHAHIDI, NA USHAHIDI MWINGINE NI SURA YALE YENYE NURU NA MWILI WA KUPENDEZA NA SURA NZURI AMBAPO HUWEZI KUVIKUTA KWA MWANAMKE FEMINISM AU ASIE NA NDOA.
Aliwahi kuolewa akafiwa na mumewe nyinyi tatizo mmeanza kumjua juzi juzi ndio tatizo la watoto wa kipindi hiki,

Emu punguzeni basi
 
Ya kweli,kwasababu za kihistoria,watusi wapo maeneo hayo,ni wazuri sana halafu hawana sifa ya umalaya,tofauti na wadada wanaosifika kwa uzuri wa Manyara au Singida.
Ati umesema sio malaya? Waulize waliooa huko. Ukiona ameaga anaenda kusalimia kwao, ujue kuna mwamba wa kinyaru anaenda kupewa utamu na akibeba mimba tu nduki siku hiyohiyo. Unakuja kupewa yote ukidhani ni mapenzi kumbe anataka kukuhadaa.

Inasemekana wanyarwanda wengi huoana wao kwa wao (hasa tutsi) ili kuemdeleza kizazi chao. Hivyo ukioa mnyarwanda, kati ya watoto 2 mmoja ni pure Rwandan.
 
Back
Top Bottom