kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Hahahahah viwanda vimetushinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah viwanda vimetushinda
Masanamu yoooooteeee ni kazi ya shetwani..Sasa ndugu zetu wakatoliki itakuwaje na sanamu zao ?
Inaitwa "Statue of Liberty" ipo Manhattan, New York. Ni sanamu waliyopewa Marekani kama zawadi ya uhuru toka kwa Wafaransa. Sanamu hiyo ilijengwa na Mhandisi maarufu kutoka nchini Ufaransa Gustave Eiffel. Sanamu hiyo iliwekwa mwaka 1886 ingawa uhuru wa Marekani ulipatikana mwaka 1776.
Kwa msiomfahamu Mhandisi Gustave Eiffel, huyu ni injinia nguli ambaye ndiye amejenga ule mnara maarufu wa Jijini Paris ambao baadae ulikuja kupewa jina lake "Eiffel Tower"