Naomba kujua idadi ya smart gin, double kick, konyagi kwa box zinakaa ngapi na bei zake kwa jumla na rejareja

Naomba kujua idadi ya smart gin, double kick, konyagi kwa box zinakaa ngapi na bei zake kwa jumla na rejareja

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
306
Reaction score
1,584
Naomba kujua idadi ya smart gin, double kick, konyagi (ndogo,kati na kubwa) kwa box, K vant nk .

Idadi na bei kwa jumla na rejareja.
 
Bia kwa kreti zinakaa 20.

Sasa hivyo vinywaji vingine kwa box vipo vingapi kwa kila kinywaji na bei zake jumla na rejareja
 
Kwa baadhi nijuazo na mkoa nilipo
Konyagi ndogo 76,000 24 box
Konyagi kati 114,500 16 box
Konyagi kubwa 122,000 12 box
5 Gin 44,000 24 box
Smart gin 26,000 15 box
Master gin 52,000 30 box
K vant ndogo 77,500 24 box
K vant kubwa 102,000 12 box
 
Kwa baadhi nijuazo na mkoa nilipo
Konyagi ndogo 76,000 24 box
Konyagi kati 114,500 16 box
Konyagi kubwa 122,000 12 box
5 Gin 44,000 24 box
Smart gin 26,000 15 box
Master gin 52,000 30 box
K vant ndogo 77,500 24 box
K vant kubwa 102,000 12 box
Asante
 
Good
Kwa baadhi nijuazo na mkoa nilipo
Konyagi ndogo 76,000 24 box
Konyagi kati 114,500 16 box
Konyagi kubwa 122,000 12 box
5 Gin 44,000 24 box
Smart gin 26,000 15 box
Master gin 52,000 30 box
K vant ndogo 77,500 24 box
K vant kubwa 102,000 12 box
 
Muendelezo

Double kick, Cuca Tsh elfu 54 zipo 30,
Eagle zipo 20 wanauza elfu 22
Safari, kilimanjaro ,serengeti elfu 31 zipo 20
Konyagi kati elfu 8500, ndogo elfu 3500-4000
Kubwa elfu 10
 
Back
Top Bottom