Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh, kwa hiyo zile zinazowashwa huwa hawaziuzi?Ila nichojifunza ni kuwa, Ukihitaji TV husika basi huenda kukuchukulia stoo, Ndivyo ilivyo kwa maduka ya hapa Kariakoo.
Kwani mke wako ulimkuta ana seal?Used mpya.. 😀😀😀
Mimi huo upumbavu wao huwa naupingaga sana. ndio mana nikitaka kitu na tukisha afikiana bei nataka unitolee kitu nione kikikatwa seal na kutestiwa mbele yangu.
Hii nimeikubali mkuu