Naomba kujua je zile Tv zinazowashwa kila siku kwenye maduka ya Tv ukinunua utaiita mpya au used?

Ukitokea Airport kama waelekea Posta, maeneo ya vingunguti kuna show room ya magari nahisi ile ni Volkswaggen sasa kwenye kibanda cha mlinzi kwa juu yake wameweka gari hivi linakuwa linarotate!.. Ukienda nunua gari omba lile mkuu!.
 
Ila nichojifunza ni kuwa, Ukihitaji TV husika basi huenda kukuchukulia stoo, Ndivyo ilivyo kwa maduka ya hapa Kariakoo.
Mmh, kwa hiyo zile zinazowashwa huwa hawaziuzi?

Blogger & Trainer
 
Used mpya.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mimi huo upumbavu wao huwa naupingaga sana. ndio mana nikitaka kitu na tukisha afikiana bei nataka unitolee kitu nione kikikatwa seal na kutestiwa mbele yangu.
Kwani mke wako ulimkuta ana seal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…