Naomba kujua jinsi ya kudhibiti mapato ukiwa mbali na biashara yako

mparange

Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
21
Reaction score
28
Guest yangu iliyopo Ukonga Dsm mapato umefika sana. Kila nikihoji naambiwa hakuna wateja kitu ambayo usiamini. Naambiwa kuna tea bulb ambazo ni camera unaweza unanishiwa kwenye simu yako unaona kila kitu.

Mwenye uzoefu au mtoa huduma hiyo tuwasiliane tufanye biashara.

Naomba na ushauri pia jinsi ya kudhibiti mapato ya Guest House kama uko mbali au busy.
 
Hizo bulb zenye camera hutakuwa unawapiga chabo wateja wakipigana miti ???
 
Zipo pm nikuunge na wauzaji wapo dar ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gesti yangu iliyopo Ukonga Dsm mapato umefika sana.kila nikihoji naambiwa hakuna wateja kitu ambayo usiamini.Naambiwa kuna tea bulb ambazo ni camera unaweza unanishiwa kwenye simu yako unaona kila kitu.
Chukua hii hapa | Utatumia simu yako kujua na kuona kinacho endelea | Hadi sauti eneo husika waweza kusikia
Your browser is not able to display this video.
  • Funga mapokezi | Utaweza kuona matukio yote 24/7 kupitia simu yako
  • Bei ni TZS. ‭140,250‬ | Delivery Time Ndani ya siku 14

- Ni plug and play |
Sifa zake hizi hapa:
  • High Definition: 1080P(Full-HD)
  • Lens (mm): 3.6mm
  • Style: Bubble Camera
  • Connectivity: WiFi
  • Power Mode: Mains Electricity
  • Supported Mobile Systems: Android,IOS

= Inafaa pia kutumika kwenyenyumba au jengo ambalo hakuna mlinzi, na itakupa taarifa kutokana na motion detector

= Ambapo utapokea alert / Notification kwenye simu yako | Angalia maelezo kwenye hii picha



=
 
Huyu anaitwa Edmund ni fundi mahiri wa Camera. Unaweza kumcheki kwa namba hizi:

+255 717 575 838
Pia yupo Dar es salaam kazi kwako.
 
Ok
 
Wateja wakigundua kwamba nimefunga taa zenye camera si watakimbia guest yangu? Mana kama unavojua,,, mteja wa guest anahitaji privacy!!!!

But this bulbs are awesome!!
 
Wateja wakigundua kwamba nimefunga taa zenye camera si watakimbia guest yangu? Mana kama unavojua,,, mteja wa guest anahitaji privacy!!!!

But this bulbs are awesome!!

Funga mapokeZi na kwenye korido sio vyumbani ni rahisi kujua nani kaingia nani katoka movement unaziona mapokezi na koridon sura mpya ambazo sio za wafanyakaz wako utaziona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…