Guest yangu iliyopo Ukonga Dsm mapato umefika sana. Kila nikihoji naambiwa hakuna wateja kitu ambayo usiamini. Naambiwa kuna tea bulb ambazo ni camera unaweza unanishiwa kwenye simu yako unaona kila kitu.
Mwenye uzoefu au mtoa huduma hiyo tuwasiliane tufanye biashara.
Naomba na ushauri pia jinsi ya kudhibiti mapato ya Guest House kama uko mbali au busy.
Mwenye uzoefu au mtoa huduma hiyo tuwasiliane tufanye biashara.
Naomba na ushauri pia jinsi ya kudhibiti mapato ya Guest House kama uko mbali au busy.